Home » News & Politics » AZAM TV - Lema, Nasari waweka hadharani ushahidi kuhongwa kwa madiwani

AZAM TV - Lema, Nasari waweka hadharani ushahidi kuhongwa kwa madiwani

Written By Azam TV on Sunday, Oct 01, 2017 | 01:34 PM

 
Hii ni baada ya madiwani kadhaa wa CHADEMA mkoani Arusha kujiuzulu udiwani na kisha kujiunga na CCM ambapo wabunge hao walidai kuwa madiwani hao wamenunuliwa.