Home » News & Politics » SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO

SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO

Written By Mwananchi Digital on Friday, Sep 08, 2017 | 08:09 AM

 
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein bashe leo ameomba mwongozo wa spika kuhusu hali ya usalama wa nchi huku akitolea mfano wa matukio kadhaa ya kiuhalifu