Home » News & Politics » Raila amtaka Rais Kenyatta kujiuzulu

Raila amtaka Rais Kenyatta kujiuzulu

Written By Citizen TV Kenya on Friday, Sep 08, 2017 | 12:41 PM

 
Muungano wa Nasa unasisitiza hauridhiki na tarehe ya mchuano mpya wa urais, hadi masuala tata kuhusu maandalizi ya mchuano huo yashughulikiwe kikamilifu. Ingawa Nasa imempa kongole mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati kwa kuuelekeza mjeledi wake kwa afisa mkuu mtendaji Ezra Chiloba kuhusiana na usimamizi wa uchaguzi wa mwezi ujao, ambao matokeo yake yalibatilishwa na mahakama ya juu, inasisitiza wadau wote wahusishwe katika maandalizi ya uchaguzi mpya wa urais. Lakini kwa upande wake, Jubilee inataka IEBC kuchapa kazi bila kuingiliwa au kushinikizwa na yeyote. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya