Home » News & Politics » Kero la Saratani ya mlango wa kizazi Migori

Kero la Saratani ya mlango wa kizazi Migori

Written By Citizen TV Kenya on Saturday, Sep 23, 2017 | 12:54 PM

 
Ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi ni moja kati ya magonjwa yanayowaua kina mama wengi ulimwenguni. Ugonjwa huu umeenea sana katika kaunti ya Migori, hasa kwa wale wanaoishi mashambani na kuwasabababishia machungu zaidi kwani licha ya kuishi maisha ya umasikini, vituo vya afya viko mbali sana. Kassim mwalimu adinasi ameandaa makala maalum kutoka migori. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya