Home » News & Politics » Azam TV – Mafanikio ya JWTZ tangu ianzishwe mwaka 1964

Azam TV – Mafanikio ya JWTZ tangu ianzishwe mwaka 1964

Written By Azam TV on Saturday, Sep 02, 2017 | 07:52 AM

 
Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWT) jenerali Venance Mabeyo na wakuu wengine wa jeshi hilo ambao ni wastaafu, wametaja baadhi ya mafanikio ya chombo hicho muhimu kwa usalama wa mipaka ya taifa.