Home » News & Politics » Waziri Lukuvi Awasha Moto kwa Mawakala wa Kuuza Nyumba na Ardhi

Waziri Lukuvi Awasha Moto kwa Mawakala wa Kuuza Nyumba na Ardhi

Written By Global TV Online on Thursday, Aug 31, 2017 | 04:29 AM

 
SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1 WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya makampuni ya mawakala wanaoshughulika na kazi za kupiga minada nyumba na ardhi za watu mbalimbali kwa sababu tofauti zikiwemo madeni kwenye mabenki au mikopo mikubwa. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Lukuvi amesema taratibu za kupiga mnada nyumba za wadaiwa lazima zifuate sheria na taratibu za nchi. "Nitawafata niwaulize kwa nini wao wamenunua nyumba mbili, kwa nini mnada unafanyika Ijumaa saa 8? Halafu mtu anasimama na megafoni anajifanya kutangaza nyumba hii inauzwa... na tangazo moja limebandikwa kwenye ukuta... uongo mtu kumbe nyumba tayari imeshauzwa," alisema Lukuvi. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...