Home » Science & Technology » Mambo 10 ya kushangaza kuhusu ulimwengu na maajabu Duniani

Mambo 10 ya kushangaza kuhusu ulimwengu na maajabu Duniani

Written By ANDREWsoft on Sunday, Aug 06, 2017 | 03:28 PM

 
Ulimwengu ni mpana na waajabu sana, ambapo mpaka bado asilimia 99.99% ya ulimwengu huu hatuifahamu, ukiachiliwa mambo ambayo tumesoma darasani kama sayari, nyota na baadhi ya vitu vingine vichache ambavyo vimeweza kufundishwa mashuleni lakini bado kuna siri kubwa ambayo hakuna mtu anayo ifahamu dhidi ya ulimwengu huu mpana usio kuwa na mwisho. Yafuatayo ni mambo 10 ya kushangaza kuhusu huu ulimwengu ambayo yatakuacha ukiwa umeduwaa kumbuka na hayo ni machache tu ila kuna mengi sana ambayo bado wanadamu hatuyafahamu na inaweza mpaka kizazi chote cha binadamu kikapotea ulimwenguni pasipo mambo mengine kufahamika. .................................................................. Subscribe sasa ili uwe wa kwanza kupata habari za teknolojia, sayansi, maisha, uchambuzi wa vifaa vya kidigitali, mafunzo ya video na mambo mengi yanayotokea kwenye mitandao Bonyeza hapa ku Subscribe: https://goo.gl/hxogF1 Tembelea tovuti yetu hapa http://www.andrewsoftwaretz.com/ Tufuate na huku kwenye mitandao ya kijamii: Facebook: http://www.facebook.com/andrewsoftware/ Instagram: https://www.instagram.com/andrewsoft_tz/ twitter: https://twitter.com/andrewsoft_tz Chanzo: Space-facts.com Muziki na: Meditation 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution license (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) Artist: http://audionautix.com/ maajabu ya dunia maajabu duniani