Home » News & Politics » KING MAJUTO KAFUNGUKA: "Nimezushiwa kifo mara 5, lazima nife lakini..."

KING MAJUTO KAFUNGUKA: "Nimezushiwa kifo mara 5, lazima nife lakini..."

Written By Millard Ayo on Thursday, Aug 03, 2017 | 11:57 AM

 
Siku kadhaa zilizopita zilienea taarifa zilizodai kuwa Mwigizaji staa wa Vichekesho Bongo Amri Athumani maarufu kama Mzee Majuto amefariki taarifa ambazo hazikuwa za kweli. Ayo TV ilifunga safari hadi nyumbani kwake Tanga na kufanya naye mahojiano mbalimbali zikiwemo taarifa hizo ambazo mara kwa mara amekuwa akizipata.