Home » News & Politics » IGP Simoni Sirro Awatoa Hofu Wananchi Wa Kibiti

IGP Simoni Sirro Awatoa Hofu Wananchi Wa Kibiti

Written By SIMU. Tv on Friday, Aug 11, 2017 | 01:58 PM

 
Mkuu wa jeshi la polisi IGP Simon Sirro amewataka wananchi wa wilaya ya Kibiti kuendelea kufanya shughuli zao za kila siku kwa maana hali ya usalama ni shwari.