Home » News & Politics » Hii ndio nusu fainali ya Ndondo Cup 2017 Waletee!!!

Hii ndio nusu fainali ya Ndondo Cup 2017 Waletee!!!

Written By Millard Ayo on Monday, Jul 31, 2017 | 10:56 PM

 
Baada ya kumalizika kwa michezo ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup 2017 na kuzishuhudia timu za Misosi FC ya Tandale, Goms United ya Gongo la Mboto, Kibada One ya Kigamboni na Keko Furniture ya Keko zikifuzu hatua ya nusu fainalUsiku wa July 31 droo ya kupanga ratiba ya mechi za robo fainali zilichezeshwa na kushuhudia timu za Keko ikipangwa na Misosi FC wakati Kibada One wakipangwa na Goms United, michezo ya nusu fainali imesogezwa mbele hadi August 9 na 10 ili kupisha shughuli ya kitaifa ya uzinduaji wa bomba la mafuta.