Home » News & Politics » Azam TV – Kumbe watanzania nao wamo uchaguzi Rwanda

Azam TV – Kumbe watanzania nao wamo uchaguzi Rwanda

Written By Azam TV on Wednesday, Aug 02, 2017 | 09:21 AM

 
Wakati siku zikizidi kuyoyoma na uchaguzi mkuu wa Rwanda ukiwa tayari mlangoni, raia wa nchi hiyo na baadhi ya watanzania waishio huko, wanamaoni tofauti kuhusu tukio hilo.