Home » News & Politics » Wabunge 8 Viti Maalumu CUF Wateuliwa

Wabunge 8 Viti Maalumu CUF Wateuliwa

Written By SIMU. Tv on Thursday, Jul 27, 2017 | 02:24 PM

 
Tume ya taifa ya uchaguzi NEC imewateua wabunge wa viti maalumu 8 kuziba nafasi za wabunge 8 waliofutwa uanachama na chama cha CUF