Home » News & Politics » RC Makonda Ataka Kufutwa Kazi Maafisa Elimu 12

RC Makonda Ataka Kufutwa Kazi Maafisa Elimu 12

Written By SIMU. Tv on Wednesday, Jul 26, 2017 | 02:49 PM

 
Mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam Paul Makonda amemuagiza afisa elimu wa mkoa kuwavua madaraka maafisa elimu kata 12 kwa kushindwa kueleza matumizi ya posho