Home » News & Politics » Profesa J alivyoingia kwenye harusi yake kwa michano

Profesa J alivyoingia kwenye harusi yake kwa michano

Written By Millard Ayo on Saturday, Jul 08, 2017 | 04:40 PM

 
Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ leo July 8, 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace DSM ambapo watu mbalimbali wakiwemo Wabunge walialikwa na baada ya ndoa walikaa kwa ajili ya picha za kumbukumbu.