Home » Entertainment » Muzamiru wa Simba na Taifa Stars awindwa Afrika Kusini

Muzamiru wa Simba na Taifa Stars awindwa Afrika Kusini

Written By Bongo5 on Tuesday, Jul 04, 2017 | 04:01 PM

 
Mchezaji wa klabu ya soka ya Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Muzamiru Yassin ameonekana kufuatiliwa kwa ukaribu na baadhi ya timu zinazoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini, baada ya kuonyesha kiwango kikubwa kwenye mashindano ya COSAFA.