Home » People & Blogs » Mcheki Rooney na Everton Wakila Bata Sea Cliff Hotel - Dar

Mcheki Rooney na Everton Wakila Bata Sea Cliff Hotel - Dar

Written By Global TV Online on Thursday, Jul 13, 2017 | 06:01 AM

 
Staa wa Zamani wa Manchester United Wayne Rooney Ametua Tanzania july 12/2017 na kikosi cha Everton katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kupokelewa na Waziri wa Habari sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe Everton ambao watacheza na Mabingwa wa Sportspesa Super cup Gor Mahia katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi wa michuano hiyo atakua Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Michuano hiyo yanayodhaminiwa na kampuni ya kubashiri ya sportspesa super cup ambayo itahitimishwa katika uwa nja huo wa taifa kwa Everton kukipiga na mabingwa hao miamba ya Kenya ambapo itakua fursa nzuri kwa Watanzania ambapo imeeonekana wana hamasa ya kufanya utalii wa ndani. Kwa kutembelea baadhi ya sehemu na kuburudika kwa kushiriki watu tofauti .