Home » Entertainment » Mazishi ya mtangazaji wa EFM, Seth Katende (Bikira wa Kisukuma) yalivyofanyika

Mazishi ya mtangazaji wa EFM, Seth Katende (Bikira wa Kisukuma) yalivyofanyika

Written By Bongo5 on Thursday, Jul 13, 2017 | 03:41 AM

 
Haya ni mazishi ya mtangazaji wa EFM, Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma. Watu mbali mbali wamejitokeza katika kuuaga mwili wake.