Home » News & Politics » MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2017

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2017

Written By Azam TV on Saturday, Jul 15, 2017 | 02:02 PM

 
Baraza la mitihani Tanzani (NECTA) limetangaza matkeo ya mtihani wa kidato cha sita huku shule ya wasichana ya Alliance ya Mwanza ikifungiwa kutoendelea kuwa kituo cha mitihani.