Home » Entertainment » Mastaa wa Bongo Fleva Walivyokamua Kwenye Harusi ya Prof Jay

Mastaa wa Bongo Fleva Walivyokamua Kwenye Harusi ya Prof Jay

Written By Global TV Online on Saturday, Jul 08, 2017 | 05:42 PM

 
SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1 Joseph Haule 'Profesa Jay' amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Grace Mgonjo. Ndoa ya Prof Jay ambaye ni Mbunge Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ilifungwa mchana wa Jumamosi, JULAI 08, 2017, katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar na usiku mpango mzima ulihamia kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar ambapo mastaa kibao na waheshimiwa wengine kibao walijumuika. “Namshukuru Mungu nimetimiza ahadi ya ndoa kwa mchumba wangu ambaye tumepitia mabonde na milima,” alisema Profesa Jay baada ya kutoka kanisani hapo. Profesa Jay, kabla ya ndoa hiyo, yeye na Grace wamejaliwa mtoto mmoja wa kike. Shoo ya Diamond kwenye harusi hiyo ilibamba mno na kuwafanya wanakamati wawe na kazi ya ziada ya kutuliza watu watulie kwenye siti zao. #Global TV Online, kwa kushirikiana na TBC 1, wanakuletea taarifa ya habari iliyosheheni matukio mbalimbali nchi nzima. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/