Home » People & Blogs » IGP ATOA MAAGIZO KWA MAKAMANDA WA POLISI NCHI NZIMA

IGP ATOA MAAGIZO KWA MAKAMANDA WA POLISI NCHI NZIMA

Written By MOA Online on Wednesday, Jul 26, 2017 | 12:59 PM

 
Mkuu wa jeshi la polisi nchini  IGP SIMION SIRRO amesema kipimo cha makamanda wa polisi ,kuendelea kuwepo katika nafasi zao ni wale wakataopunguza  kwa kiasi kikubwa vitendo vya kihalifu  katika mikoa yao.