Home » News & Politics » EXCLUSIVE: Wakili Kibatala kuhusu Tundu Lissu kukamatwa na Polisi

EXCLUSIVE: Wakili Kibatala kuhusu Tundu Lissu kukamatwa na Polisi

Written By Millard Ayo on Thursday, Jul 20, 2017 | 02:10 PM

 
Leo July 20 Mwanasheria, Mbunge wa CHADEMA na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika TLS, Tundu Lissu amekamatwa akiwa Airport Dar es Salaam akielekea Rwanda kwenye mkutano wa Chama cha Mawakili wa Afrika Mashariki.