Home » News & Politics » Edward Lowassa Aripoti kwa DCI Kuhojiwa

Edward Lowassa Aripoti kwa DCI Kuhojiwa

Written By Global TV Online on Thursday, Jul 20, 2017 | 09:54 AM

 
SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewasili leo, Julai 20 saa mbili asubuhi makao makuu ya Jeshi la Polisi kwenye ofisi za Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz. Lowassa ameambatana na mkewe, Regina na mwanasheria wake, Peter Kibatala. Hii ni mara ya nne kwa Lowassa kuripoti hapo akituhumiwa kutoa kauli zinazodaiwa kuwa ni za kichochezi wakati wa futari iliyoandaliwa Juni 23, na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara. http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...