Home » News & Politics » CS Matiang'i asema kila pembe ya nchi itakuwa na ulinzi

CS Matiang'i asema kila pembe ya nchi itakuwa na ulinzi

Written By NTV Kenya on Tuesday, Jul 25, 2017 | 01:39 PM

 
Serikali imehakikisha kwamba usalama wa mpaka wa kenya na somalia umedumishwa katika msimu wa uchaguzi ili kuwawezesha wakenya kutekeleza jukumu lao la kidemokrasia. Aidha usalama katika miji yote imewekwa huku wanaissa wakiombwa kutoeneza matamshi ya chuki. IEBC kwa upande wake imesema kwamba haitakubali yeyeote ambaye hajaidhinishwa kushinda katika vituo vya kupiga kura ili kupunguza uwezekano wa utovu wa usalama kutokea.