Home » News & Politics » AZAM TV – MMOJA WA WAUAJI KIBITI AUAWA

AZAM TV – MMOJA WA WAUAJI KIBITI AUAWA

Written By Azam TV on Friday, Jul 21, 2017 | 11:41 AM

 
Mkuu wa Operesheni Maalumu za Polisi DCP Liberatus Sabas, amesema jeshi la polisi nchini limewaua watu wawili wanaodhaniwa kuhusika na mauaji yanayoendelea maeneo ya Ikwiriri, Kibiti na Rufiji huku mmoja akithibitika kuhusika na uvamizi kituo cha polisi Ikwiri