Home » News & Politics » Alichozungumza Ruge Mutahaba leo kuhusu Ndondo Cup

Alichozungumza Ruge Mutahaba leo kuhusu Ndondo Cup

Written By Azam TV on Sunday, Jul 30, 2017 | 01:29 PM

 
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji kutoka Clouds Media Ruge Mutahaba leo ameibuka katika michuano ya Ndondo walipokuwa wakichuana Keko Furniture na Stimtosha.