Home » Comedy » Rais Dkt Magufuli afungua kiwanda

Rais Dkt Magufuli afungua kiwanda

Written By sheila simba on Wednesday, Jun 21, 2017 | 02:44 AM

 
JPM afungua kiwanda cha vifungashi cha Global Packaging (T) LTD mjini Kibaha asubuhi hii ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu ya mkoa wa Pwani