Home » News & Politics » "Nani katuloga Tanzania?" - Bilago

"Nani katuloga Tanzania?" - Bilago

Written By Millard Ayo on Monday, Jun 12, 2017 | 01:34 PM

 
Bunge la Kumi na Moja limeendelea leo June 12, 2017 katika Mkutano wake wa Saba ambapo Wabunge walikuwa wanajadili Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2017/18 ambapo miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi hiyo ni Kasuku Bilago Mbunge wa Buyungu ambaye ameipinga Bajeti akihoji ni nani anairoga Serikali.