Home » News & Politics » James Rugemarila na Harbinder Sethi wamefikishwa mahakamani muda huu

James Rugemarila na Harbinder Sethi wamefikishwa mahakamani muda huu

Written By Millard Ayo on Monday, Jun 19, 2017 | 08:29 AM

 
Leo June 18 2017 Taasisi ya kupambana na kuzuia na rushwa ‘TAKUKURU” ilitangaza kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wawili James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam muda huu