Home » Entertainment » HEKAHEKA: Mama adaiwa kumchapa mwanae hadi kufa...kisa?

HEKAHEKA: Mama adaiwa kumchapa mwanae hadi kufa...kisa?

Written By Millard Ayo on Monday, Jun 05, 2017 | 08:07 AM

 
June 5, 2017 kwenye Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habib ametusogezea Hekaheka ambayo inamuhusu mwanamke mmoja ambaye anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumpiga mtoto wake wa kumzaa hadi kufa baada ya kumshutumu kuiba hela ya ndani.