Home » People & Blogs » BUDABOSS LIVE EP 44 - SUPER SUNDAY; 10 LESSONS FROM SAMSON AND DELILAH... PART ONE

BUDABOSS LIVE EP 44 - SUPER SUNDAY; 10 LESSONS FROM SAMSON AND DELILAH... PART ONE

Written By BudaBoss Live on Sunday, Jun 25, 2017 | 01:49 AM

 
Mwenye alisema akili ni nywele hakuwa amefikiria Samson... na juu Kenya tuko na ma delilah wengi na hata hatutambui, ni muhimu tu get lessons kadha wa kadha kutoka kwa hawa wadhii ndio tuweze ku accomplish purposes zetu vi fiti.... USSSSSSTAKEONA!!!!