Home » News & Politics » BREAKING: Ajali ya basi imeua watu watatu Hydom Manyara leo

BREAKING: Ajali ya basi imeua watu watatu Hydom Manyara leo

Written By Millard Ayo on Friday, Jun 16, 2017 | 05:43 AM

 
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.