Home » Sports » 'Unafiki huu utatupeleka pabaya'' - Pauline Gekul

'Unafiki huu utatupeleka pabaya'' - Pauline Gekul

Written By Millard Ayo on Tuesday, May 09, 2017 | 05:39 PM

 
Hii inatokea Bungeni Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo ya bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ambapo Mbunge wa Babati mjini Pauline Gekul ambaye aliitaka Serikali kuangalia changamoto zinazowakabili wanajeshi wa Tanzania ikiwemo mazingira mabovu wanayoishi