Home » Entertainment » Serengeti Boys wakijinoa kabla ya mechi yao dhidi ya Cameroon

Serengeti Boys wakijinoa kabla ya mechi yao dhidi ya Cameroon

Written By Bongo5 on Tuesday, May 02, 2017 | 07:18 AM

 
Mazoezi ya mwisho mwisho Jumanne ya leo kuelekea mchezo wao wa marudiano Jumatono hii dhdi ya Cameroon, katika Mchezo wa awali Serengeti Boys ilitoka na ushindi wa Goli 1 kwa 0 dhidi ya Cameroon.