Home » News & Politics » Nay, Shilole, Kala wafunguka kuhusu picha za Ben Pol

Nay, Shilole, Kala wafunguka kuhusu picha za Ben Pol

Written By Millard Ayo on Sunday, May 21, 2017 | 09:54 PM

 
Kwenye hizi siku mbili mwimbaji wa RNB Ben Pol amekua gumzo kwenye mtandao wa Instagram baada ya kupost picha akionekana bila nguo na kusababisha kupata comments nyingi za kumkosoa. Wasanii wenzake Nay wa Mitego, Shilole na Kala Jeremiah wameongelea pia kuhusu hizo picha.