Home » Entertainment » MAUAJI: Mume amuua mkewe kwa risasi kisha naye kujiua, Mwanza

MAUAJI: Mume amuua mkewe kwa risasi kisha naye kujiua, Mwanza

Written By Millard Ayo on Friday, May 26, 2017 | 09:44 AM

 
Bad news iliyonifikia leo May 26 kutoka Mwanza ni kuhusu mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Max amemuua mkewe kwa risasi kabla naye kujiua kwa risasi pia wakiwa nyumbani kwao usiku wa kuamkia May 26, 2017.