Home » News & Politics » Juhudi Za Kuongeza Uzalishaji Wa Zao La Pamba

Juhudi Za Kuongeza Uzalishaji Wa Zao La Pamba

Written By SIMU. Tv on Monday, May 15, 2017 | 02:06 PM

 
Wakulima wa pamba mkoani Simiyu wameiomba serikali pamoja na bodi ya pamba kuthibiti mabadiliko ya bei ya zao hilo ili wakulima waweze kunufaika.