Home » News & Politics » IGP Sirro Aanza na Mauaji Rufiji, Kibiti na Ikwiriri Mkuranga, Asema Ubaya Ubaya Tu!

IGP Sirro Aanza na Mauaji Rufiji, Kibiti na Ikwiriri Mkuranga, Asema Ubaya Ubaya Tu!

Written By Global TV Online on Wednesday, May 31, 2017 | 05:19 AM

 
IGP Simon Sirro amewachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari kwenye silaya za Mkuranga, Ikwiriri na Rufiji na kuwahakikishia wananchi kwamba siku zao zinahesabika. Akizungumza na waandishi wa habari, kamanda Sirro amesema Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kwa upande wa sakata la mwanamke kudaiwa kuibiwa kichanga chake kwenye Hospitali ya Temeke, Waziri Ummy amesema baada ya mwanamke huyo kukataa ripoti ya mganga mkuu inayoonesha kwamba hakuwa na watoto mapacha, ameamua kuunda kamati maalum itakayohusisha jopo la wataalam ambapo watatoa majibu baada ya siku 14. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/