Home » People & Blogs » HATIMAE SIMBA WACHUKUA UBINGWA

HATIMAE SIMBA WACHUKUA UBINGWA

Written By MOA Online on Saturday, May 27, 2017 | 01:29 PM

 
Simba yatwaa kombe la shirikisho la Azam sports federation baada ya kuifunga timu ya Mbao leo hii kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma Mabao 2 ya Simba yaliyopatikana dakika za nyongeza Blagnon ndiyo wa kwanza kuiandikia Simba bao la kuongoza ikiwa ni dakika ya 95 kabla ya Robat Ndaki wa Mbao kuisawazishia timu yake dakika ya 110 Shiza ramadhani Kichuya akaja kushindilia bao la pili kwa mkwaju wa penalt na matokeo hayo yametosha kuipa Simba ubingwa wa msimu huu 2016/2017.