Home » News & Politics » FULL VIDEO: Mazishi ya Ivan 'Don' Ssemwanga, Uganda

FULL VIDEO: Mazishi ya Ivan 'Don' Ssemwanga, Uganda

Written By Millard Ayo on Wednesday, May 31, 2017 | 03:37 AM

 
Mwili wa aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ambaye pia alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye umezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 katika mazishi ya namna yake.