Home » Entertainment » EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo

EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo

Written By Millard Ayo on Tuesday, May 23, 2017 | 11:24 AM

 
Mwimbaji staa wa RNB Ben Pol amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kueleza ni kwanini na ilikuaje mpaka akapiga zile picha za bila nguo na kuzipost kwenye Instagram yake.