Home » Entertainment » Cheki Mijimama Ikikata Mauno Mtaani Ngoma Mpya ya Chin Bees "Nyonganyonga"

Cheki Mijimama Ikikata Mauno Mtaani Ngoma Mpya ya Chin Bees "Nyonganyonga"

Written By Global TV Online on Friday, May 26, 2017 | 11:58 AM

 
Mkali aliyekuja vizuri kwenye game ya muziki wa bongo flaver Chin Bees ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya "Nyonganyonga" aliamua kufanya uzinduzi rasmi wa ngoma huko Temeke na kuwapagawisha sana mashabiki waliokuwepo kutokana na mashairi na na vile alivyofanikiwa kulishambulia jukwaa. Global TV tulikuwepo eneo la tukio kuhakikisha haupitwi na chochote, usikubali kupitwana stori kibao za mastaa pamoja na matukio mbalimbali kwa kutembea website yetu www.globalpublishers.co.tz pia SUBSCRIBE sasa https://www.youtube.com/user/uwazi1 ili kuweza kutumiwa taarifa kila tunapokuwekea habari mpya kutokea hapa Global TV https://www.youtube.com/user/uwazi1 https://www.youtube.com/user/uwazi1 https://www.youtube.com/user/uwazi1 https://www.youtube.com/user/uwazi1