Home » Science & Technology » Senema Jingine La CUF:Nyie Mnakatana Miguu Lipumba na Seif Wanakula Upepo Tu

Senema Jingine La CUF:Nyie Mnakatana Miguu Lipumba na Seif Wanakula Upepo Tu

Written By Buku Tano on Saturday, Apr 22, 2017 | 05:43 PM

 
Siasa za chuki ni siasa mbaya zaidi kuzishuhudia kwani watu hudhuriana kwa tofauti ya itikadi zao za kivyama. Sasa hapa CUF A vs CUF B wameanza kuchapana! Wanaowatuma wanakula maisha tu huko!