Home » Entertainment » Roma asimulia jinsi alivyotekwa na kupelekwa asikokujulikana

Roma asimulia jinsi alivyotekwa na kupelekwa asikokujulikana

Written By Bongo5 on Monday, Apr 10, 2017 | 12:34 PM

 
Hatimaye rapper Roma amesimulia mkasa wa kutekwa akiwa na wenzake watatu kuanzia Jumatano iliyopita hadi Ijumaa.