Home » News & Politics » 'Mpenzi wangu hana noma ninapoonyesha hisia zangu kwa Wema' Harmorapa

'Mpenzi wangu hana noma ninapoonyesha hisia zangu kwa Wema' Harmorapa

Written By Millard Ayo on Thursday, Apr 06, 2017 | 12:52 PM

 
Harmorapa amekuwa akitumia ukurasa wake wa Instagram kwa kuonyesha hisia zake za kimapenzi kwa mrembo kutoka kiwanda cha Filamu Tanzania Wema Sepetu, Je Amber Lulu anajisikiaje?