Home » Film & Animation » mchawi muuaji ajisalimisha madhabahuni

mchawi muuaji ajisalimisha madhabahuni

Written By UKOMBOZI TV on Thursday, Apr 27, 2017 | 05:30 PM

 
Binti Huyu alijisalimisha mbele ya madhabahu ya ukombozi na kukiri kuwa ni mchawi alishiriki kumuua babu yake na baba yake mzazi kwa njia za uchawi na kula nyama za watu walio kufa makaburini. Ungana nasi sasa ili uweze kupata habari,mafundisho na shuhuda mbalimbali za matendo makuu ya Mungu kupitia Whatsapp Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/K4ijZ7n8k8xJGG4OazOR2v