Home » Film & Animation » LIVE: Bongo Movies: NISHAPIMA - (Comedy) -Part 2

LIVE: Bongo Movies: NISHAPIMA - (Comedy) -Part 2

Written By Global TV Online on Sunday, Apr 02, 2017 | 12:43 PM

 
GLOBAL TV Online inakuletea 'Comedy' ijulikanayo kwa jina la NISHAPIMA-Part 2 kutoka kampuni maarufu ya filamu ya 5EFFECTS ya jijini Dar es salaam. Umeshawahi kukutana na mtu ambaye ni kiwembe kwa wasichana lakini linapokuja suala la Kupima Ngoma anakuwa mdogo kama piriton?....katika movie hii utacheka mpaka uvunjike mbavu!!!! LIVE BONGO MOVIES| NISHAPIMA Part 2| Short Film|Comedy #Global Movies. #Global Films. #Global TV Online. #Live Streaming. #K5EFFECTS