Home » Entertainment » IDRIS SULTAN aeleza Sababu za Kuwatania Mastaa Wenzake Mtandaoni , Kutoweka Mahusiano yake wazi

IDRIS SULTAN aeleza Sababu za Kuwatania Mastaa Wenzake Mtandaoni , Kutoweka Mahusiano yake wazi

Written By SamMisago on Thursday, Apr 20, 2017 | 01:16 PM

 
Imekua kawaida kwa Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa BBA Idriss Sultani Kutania watu maarufu wenzake kwa kuchukua Jambo lenye uzito na kulitilia Mzaha na hizo ndio sababu za kwanini anafanya hivyo.