Home » News & Politics » ALL GOALS: Serengeti Boys vs Ghana April 3 2017, Full Time 2-2

ALL GOALS: Serengeti Boys vs Ghana April 3 2017, Full Time 2-2

Written By Millard Ayo on Monday, Apr 03, 2017 | 01:34 PM

 
April 3 2017 timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys ilicheza mchezo wake wa kirafiki wa maandalizi ya michuano ya mataifa Afrika chini ya miaka 17 itakayofanyika Gabon dhidi ya Ghana uwanja wa Taifa Dar es Salaam.