Home » News & Politics » Tiba ya kisasa ya macho

Tiba ya kisasa ya macho

Written By Citizen TV Kenya on Sunday, Mar 12, 2017 | 01:16 PM

 
Mtazamaji, je wewe huvaa miwani kutokana na shida za macho? Je, nikikuambia kuwa macho yako yanweza kurejea katika hali ya kawaida kupitia teknolojia ya laser au miale kwa sekunde thelathini tu, utaamini? Ni kana kwamba ni ndoto, lakini hilo lawezekana kama anavyotupasha mwanahabari wetu Denis Otieno. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya