Home » Entertainment » "Fedha za dawa za kulevya zinaenda kukauka DSM"-Paul Makonda

"Fedha za dawa za kulevya zinaenda kukauka DSM"-Paul Makonda

Written By Millard Ayo on Wednesday, Mar 15, 2017 | 09:37 AM

 
Leo March 15 2017 ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda anatimiza mwaka mmoja tangu ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, amekutana na wadau mbalimbali wa mkoa huo kwa ajili ya kutathmini mambo mbalimbali kwenye uongozi wake.